Serikali ya Jamhuri ya Burundi, leo Juni 9, imetangaza kifo cha Pierre Nkurunziza, Rais anayemaliza muda wake.
Nkurunziza aliyelazwa katika Hospitali ya Karuzi tangu Jumapili, Juni 7 alikufa kwa ugonjwa wa moyo jana, Juni 8.
Marehemu Nkurunziza alitawala Jamhuri ya Burundi tangu 2005. Alifufa akiwa na umri wa miaka 55.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo