Bwiza

Wafanyakazi saba Wilayani Rubavu wafukuzwa kazini

Siasa
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Gatatu, 18 Ukuboza 2019 saa 13:25
Iminota 1 yo gusoma2 Abasomye
Wafanyakazi saba Wilayani Rubavu wafukuzwa kazini

Wafanyakazi saba wa Wilaya ya Rubavu walifukuzwa kazini jana tarehe 17 Disemba baada ya mkutano wa viongozi mbalimbali.

Wameandika barua za kujiuzulu ila hawakutangaza mengi nini kilichosababisha uamuzi huo katika vyombo vya habari.

Hata hivyo, kisa hiki ni baada ya ziaara ya kikazi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Prof. Anastase Shyaka wilayani humo.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Waziri Shyaka alisema kulikuwepo vuruguvurugu miongoni mwa viongozi wilayani, jambo linalozuia miradi ya serikali kutekelezwa.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.