Polisi chini Rwanda imetangaza kumejitokeza kesi 46 za itikadi ya mauaji ya kimbari zapatikana wiki moja.
Tangu wiki ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi ianze, kesi hizo husika na itikadi ya mauaji ya kimbari zimeoneka.
Msemaji wa Polisi nchini humo, CP John Bosco Kabera amesema kuna uhalifu kama vile kuharibu nyuma na mali za walionusurika, maneno mabaya na mambo mengine.
Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS
Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000
Hata hivyo, serikali ilianzisha miradi mingikupamabana na tatizo hilo lakini halijatatuliwa bado.
Nchini humo, kuwa na hatia ya uhalifu wa itikadi ya mauaji ya kimbali ni kosa linaloadhibiwa kwa kifungo.

