Bwiza

Watu 12 wafariki kufuatia mvua kali iliyonyesha kwenye Krismasi

Habari Mpya
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Kane, 26 Ukuboza 2019 saa 13:06
Iminota 1 yo gusoma2 Abasomye
Watu 12 wafariki  kufuatia mvua kali iliyonyesha kwenye Krismasi

Wizara ya Mambo ya kuchunga majanga nchini Rwanda (MINEMA) imetangaza watu 12 wamefariki baada ya mvua kali iliyonyesha nchini kote kwenye sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu (Krismasi).

Viongozi wamesema waliofaariki waliangukiwa na nyuma au kuanguka mitoni.

Pamoja na hayo, mvua iliyonyesha karibu masaa matano imeharibu nyumba 113 na ha 42 za mimea zimezamaa.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Kwa hiyo, MINEMA imewataka wananchi kuchukua mbinu za kujikinga majanga. Maafisa wa serikali wamesema mvua itaendelea kunyesha.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.