Bwiza

Wakazi karibu na Ziwa Kivu wailaumu serikali kuhusu ujenzi wa barabara

Habari Mpya
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Kabiri, 3 Ukuboza 2019 saa 14:49
Iminota 1 yo gusoma1 Abasomye
Wakazi karibu na Ziwa Kivu wailaumu serikali kuhusu ujenzi wa barabara

Wakazi kwene maeneo karibu na Ziwa Kivu wamesema haiwezakani kupiga hatua ya utalii wakati ambapo hawana mabarabara.

Wameelezea Gazeti la Umuseke kuwa kuna watalii wengi wanaokuja huko lakini wakakumbwa na uhaba wa barabara safi.

" Ni vyema kama tunapata watalii lakini kwa uoande mwingine haina budi barabara hizi zisafishwe." Amesema Nzeyimana Aphrodice mkazi eneo la Boneza.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Gavana wa Moa wa Mgaharibi, Alphonse Munyantwari wiki chache zilizopita alisikika aliwaambia wakazi kuwa " Serikali itafanya juu chini kuleta vifaa vya kutengeneza barabara hizo, ili mawasiliano yawezekane. Hakuna uwezo wa barabara za rami ila nazo tutapata siku za usoni."

Wilayani Rutsiro ni mojawapo wa amahali ambako kuna uhaba wa miundo mbinu. Kuna hata tarafa nzima ambayo haina umeme.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.