Bwiza

Kigali: Kumeanzishwa upelelezi kwa wanajeshi wanaoshtakiwa kuwabaka wanawake

Habari Mpya
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Gatanu, 3 Mata 2020 saa 12:51
Iminota 1 yo gusoma2 Abasomye
Kigali: Kumeanzishwa upelelezi kwa wanajeshi wanaoshtakiwa kuwabaka wanawake

Jeshi la Rwanda limeanzisha upelelezi kwa wanajeshi wake watatu wanaoshtakiwa kuwabaka wanawake eneo la Bannyahe Mjini Kigali.

Habari zimezagaa kuwa wanajeshi hao walibaka wanawake na kuwapiga waume zao wiki iliyopita.

Msemaji wa Jeshi la Rwanda, Luteni Kanali Innocent Munyengango jana alisema upelelezi utaazishwa kuhusu mashtaka hayo.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Pamoja na hayo, kwa mujibu wa BBC, upelelezi umeanzishwa na wakazi wa eneo hilo wanatoa ushahidi wao.

Ni mala ya kwanza baadhi ya wanajeshi wa Rwanda kushtakiwa mambo ya ubakaji.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.